NUH MZIWANDA: NITAKWENDA KABURINI NA TATTOO YA SHILOLE
Nuhu Mziwanda akiwa na mpenzi wake Zuwena Mohamed 'Shilole'.

Nuhu Mziwanda akiwa amejichora Tattoo yenye jina la mpenzi wake, Shilole ikiwa imeandikwa ‘ShiShiBaby’.
Juzi, Nuhu Mziwanda alipost picha kwenye Instagram ikionesha Tattoo
aliyochora yenye jina la mpenzi wake Shilole ikiwa imeandikwa
‘ShiShiBaby.
Mziwanda alieleza kuwa
tattoo aliyochora ni ya kudumu katika kipindi chote atakachokuwa duniani
na kwamba haitafutika mpaka siku anaingia kaburini.
Kwa upande wa Shilole,
alipost picha hiyo kwenye Instagram na kuandika ujumbe wa kumshukuru
mpenzi wake. “Thanx my lv 4 dis! Umeonesha lv ya ukweli”
Show Konversi KodeHide Konversi Kode Show EmoticonHide Emoticon